Moja ya changamoto ambazo watu wengi wanaotutafuta huwa ni wanawezaje kupata mtaji wa kuanza biashara. Hiki kimekuwa kikwazo kwa watu wengi kuingia kwenye biashara. Hata wale ambao tayari wapo kwenye biashara, wamekuwa wakitamani kukuza biashara zao ila wanashindwa kutokana na kukosa fedha za kuingiza kwenye biashara.
Tatizo kubwa ambalo linawazuia wengi kutopata mtaji wa biashara ni kwa sababu inapokuja swala la mtaji wanafikiria sehemu moja tu, ambayo ni mkopo. Na kwa bahati mbaya sana watu wengi wanakuwa hawana sifa zinazowawezesha kupata mkopo wa kibiashara. Kwa kukosa sifa hizo huishia kukaa na kulalamika nataka kuingia kwenye biashara ila mtaji sina.
Kama wewe unapenda biashara, na umepanga kuingia au umeshaingia lakini hujaweza kukuza mtaji wako, hapa tutakupa njia mbalimbali za kupata mkopo kwa ajili ya biashara yako.
Njia nzuri sana kwako kupata mtaji wa biashara ni kwa kuanza kuweka akiba ya fedha zako mwenyewe. Kama umeajiriwa anza utaratibu maalumu wa kuweka kiasi cha fedha pembeni ambacho hutakigusa hata iweje. Baadae unaweza kukitumia kwenye kuanza biashara. Kama hujaajiriwa unaweza kutafuta shughuli yoyote ukafanya na hii ikakuingizia kipato ambacho baadae utaweza kuanzia biashara.
- Fedha zako binafsi.
Kama unaweza kukaa chini na ndugu zako na ukawashawishi vizuri, watakuwa tayari kukuchangia uanze biashara. Kama watu wanaweza kuchangia harusi na mambo mengine, wanaweza pia kuchangia biashara, ni wewe uweze kuwashawishi vizuri. Ila hapa unahitaji kuwa unaaminika na ndugu hao n apia waoneshe ni jinsi gani wao watanufaika na biashara utakayoanzisha.
- Michango kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.
Kwa uzoefu wetu, kuna watu wengi ambao wana mitaji ya kibiashara ila hawajui ni biashara gani wafanye au hawana muda wa kusimamia biashara. Na wakianzisha biashara kwa sababu hawana usimamizi mzuri wanapata hasara. Sasa wewe unahitaji kuwajua watu wa aina hii na andaa mpango ambao utawashirikisha na kuonesha ni kwa jinsi gani mkiungana pamoja mnaweza kuwa na biashara nzuri na yenye faida. Hii pia inahitaji uwe unaaminika na yule unayempelekea mpango wako.
- Kutafuta mtu au watu wa kushirikiana nao.
Hapa unaweza kukusanya fedha kwa wateja kwanza halafu ndio ukawapata huduma au bidhaa wanayohitaji. Kama utaweza kuwa na mpango mzuri wa biashara ambapo mteja anahitaji sana unachotoa, na tayari anakuamini anaweza kukupa sehemu ya gharama na wewe kutumia gharama hiyo kumpatia bidhaa au huduma anayotaka. Hii pia inahitaji uaminifu na wale unaofanya nao biashara.
- Kuanza biashara kwa fedha za mteja.
Hii ndio njia ambayo inafahamika na kila mtu na watu ndio huwa wanaifikiria hii kila wanapofikiria mkopo wa biashara. Kama una sifa za kupata mkopo unaweza kuchukua mkopo na kuutumia kwenye biashara. Ila kuwa makini sana kama unachukua mkopo kwa ajili ya kuanzia biashara, ni hatari sana na unaweza kujiingiza kwenye matatizo zaidi.
Bado unafikiria ni njia gani unazoweza kutumia kupata mkopo wa biashara? Anza na hizo hapo juu na boresha kadiri biashara yako ilivyo na wale wanaokuzunguka walivyo. Hakuna kitu kinachoshindikana kama utaamua kweli kupata mkopo wa biashara.
DigitAL MarketiNG
Sunday, April 7, 2019
Kampuni ya matangazo ya ADPOLLEX nchini yatoa offer mpya kwa wale wanaotaka kutangaza biashara zao kimataifa
Kampuni ya matangazo ya ADPOLLEX iliyojikita Afrika Mashariki kwenye shughuli za utangazaji sasa imezindua offer mpya ya kukupa nafasi mteja wetu kutangaza biashara/kampuni yako kimataifa kwa sasa kampuni imeaonyesha nia ya dhati ya kuwekeza kwa wajasiriamali wadogowadogo hili kuwazesha wafanyabiashara wadogo kuwekeza kwenye matangazo ili kuongeza mapato yao. Uwekezaji huu unatarajiwa kuongeza tija na muamko wa wafanyakazi na wateja wao. Kufuatia mabadiliko haya sasa kampuni ya ADPOLLEX itaweza kuhudumia wateja wake kwa viwango vya juu zaidi huku idadi ya wabunifu na vitendea kazi vikiongezwa.
Akizindua OFFER hiyo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwekezaji huyo Bwana CHRISPER MALAMSHA amesema, “nia na madhumini ya uzinduzi huu ni kuitambulisha kampuni hii kwa upya kwa watanzania, licha ya kuwapo hapa nchini kwa zaidi ya miaka miwili.
MALAMSHA aliendelea kusema “soko la Tanzania kwa sasa linakua kwa kasi na sekta ya ushirikiano inazidi kukua kwa viwango vya juu, hivyo umuhimu wa kutangaza masoko na bidhaa zinazozalishwa ni mkubwa mno, kwa kufanya hivi tunatoa nafasi kwa makampuni mengine kutambua uwepo wetu hapa Tanzania na Afrika mashariki na wao kuweza kuzitambua kazi tunazozifanya.
”Kufuatia uwekezaji huu mpya na kukutangazia kampuni yako kimataifa, nia kubwa ni kukuza sekta ya masoko kwa Afrika mashariki huku tukifanya kazi kwenye viwango vya kimataifa. Tunayofuraha kubwa kwa uwekezaji huu kwani utaongeza tija kwa watanzania wenye vipaji.
Kampuni ya ADPOLLEX inatoa huduma mbalimbali kama kuandaa matangazo ya biashara kwa niaba ya wateja, kununua nafasi za matangazo kwenye vyombo vya habari, kuandaa mikakati ya jinsi ya kukuza bidhaa yako, kuwatangazia wateja bidhaa zao kwenye mitandao mbalimbali na kuwashauri hali halisi ya masoko na ushindani ilivyo duniani kwa sasa.
“Ni furaha kubwa kuitambulisha kwenu kampuni ya ADPOLLEX” alisema Bw Daniel Octavian, Meneja Mkuu wa ADPOLLEX Tanzania, huku tukijivunia timu yenye wafanyakazi bora na kazi nzuri ambazo tumeshazifanya mpaka sasa kwa wateja wetu,licha ya kuandaa kazi nzuri zilizoendana na soko la wateja wetu lakini pia tumeonekana kimataifa na kupata nafasi ya kushiriki kwenye baadhi ya forum mbalimbali duniani kwenye sekta ya matangazo. Ushiriki huu utakuwa na manufaa makubwa kwa wateja wetu na kutuwezesha sisi kama ADPOLLEX kupanua wigo wetu wa kufanya kazi kimataifa.
Dhamira yetu ni kuona ushindani wa matangazo ya bidhaa kwa Tanzania unakua na kufikia viwango vya kimataifa.
Bw Daniel aliendeela kusema “Kama kampuni tumefanya kazi hapa Tanzania kwa miaka miwili na makampuni ya ndani na nje ya Tanzania ikiwamo makampuni ya simu, benki, taasisi zisizo za kiserikali,kampuni za samani za ndani, kampuni za sola na nyingine nyingi. Kwa miaka hiyo michache ya kufanya kazi kwa bidii na kutambulika kimataifa,kampuni ya ADPOLLEX sasa inasababu ya kujivunia ujuzi wa kufanya kazi za wazawa huku tukizifanya kwa viwango vya kimataifa. Kama wadau wa matangazo tunaamini ubunifu bora unaleta ushindani katika soko na kuweza kuifikisha bidhaa kwenye viwango vya kimataifa.
GudyTV
Saturday, April 22, 2017
Sunday, April 2, 2017
MAKOSA MATATU YANAYOZUIA USIPATE WATEJA UNAPOTANGAZA BIASHARA
Kama ungependa kupata wateja na kuongeza mauzo katika kampuni au biashara yako, lazima utambue na kuyaepuka makosa yanayofanya usiuze unapotangaza biashara yako. Wateja na mauzo ndio uhai wa biashara yako.
Makosa nilio ainisha hapa, nina uhakika yanazuia mfanyabiashara asipate wateja pindi anapotangaza. Katika kipindi cha mwanzo mwaka 2015 wakati naanza kufanya biashara na kutafuta Business partners, mauzo yangu na hata kupata Business partners haikuwa kazi rahisi, hadi nilipogundua haya makosa niliokuwa nikiyafanya na kujifunza jinsi ya kuyaepuka.
WATU HAWASOMI MATANGAZO YAKO.
Matangazo ndiyo huanza kuitambulisha biashara kwa wateja wako. Ikiwa utafungua biashara kisha ukatulia au unatangaza lakini watu hawasomi matangazo yako, hakuna atakayejua unatoa huduma au bidhaa au ofa. Kibaya cha jitangaza kizuri cha jiuza, kauli hii ipe kisogo kama biashara ndio inaanza lazima ujue jinsi ya kuitangaza.
Kwa nini watu hawasomi tangazo lako?
• Headline(kichwa cha tangazo)
Kama umeweka tangazo katika Mitandao ya kijamii, barua pepe au umebandika mahali watu wanaliona lakin wanalipita bila kulisoma, hapo tatizo la kwanza lipo kwenye headline (kichwa cha tangazo).Headline ndio inamfanya msomaji amue ndani ya muda wa sekunde 3 hadi 10 kusimama asome tangazo lako au apitilize. Kwenye Internet wasomaji wanafanya maamuzi haraka sana ndani ya sekunde 3, atakuwa ameamua kusoma makala au tangazo lako au abonyeze kitufe aendelee na safari kulingana na Headline.
Tengeneza vichwa hata zaidi ya vitano vya tangazo lako kisha uchague. Headline ya kwanza kujitokeza kichwani, inaweza isiwe nzuri kuliko utakazo zipata ukiendelea kufikiria.
• Mwanzo wa Tangazo
Sentensi ya mwanzo baada ya tangazo. Ni muhimu kuwa na mvuto wa kumfanya msomaji atake kuendelea kusoma yaliyomo ndani ya tangazo.Mfano:
Kama ungependa kupata wateja na mauzo…..
Kama ungependa kupata bidhaa bora na zenyekutatua…..
Sasa unaweza kupata/kupokea/kutumia….
Mifano miwili hapo nimetoa kukupa mwanga, ujifunze jinsi ya kumlazimisha msomaji aendelee kusoma yanayofuata katika tangazo lako.
2. HULENGI WATEJA HUSIKA (BAD TRAGERTING)
Watu watasoma tangazo lako, lakini hutaweza kuwabadili kuwa wateja kama tangazo umeandika vizuri lakini hukufanya utafiti mzuri ni wapi utapata wateja wako. Unajikuta umepeleka tangazo au bidhaa kwa wasio wahitaji. Ni kana vile umekwenda kutangaza au kuuza Computer kwa ambao hawahitaji na hawaju au kuuza nguruwe msikitini.Jinsi ya kufanya target ya wateja:
• Kabla ya kuanza biashara fanya tafiti kuhusu wateja, unatakiwa kufahamu wateja wako ni akina nani na sifa zao ni zipi. Sifa za kutambua kwa wateja:
Jinsia: Mke/Me
Umri: 18 – 45 (mfano)
Kipato: ********
Elimu: ********
• Baada ya kutambua wateja wako, fanya jitihada za kufahamu wapi utawapata.
Wateja wako wanapatikana sehemu mbalimbali kutegemeana na sifa za wateja wako. Mfano wanaweza patikana:Magrupu ya ujasiriamali katika mitandao ya kijamii.
Sehemu za michezo
Mashuleni
Katika forum mbalimbali ujasiriamali, michezo, mapenzi, siasa n.k(itategemeana na wewe biashara)
Usipokuwa tambua wateja wako vizuri na kufahamu wapi wanapatikana ndio unajikuta, unapoteza muda kutangaza bidhaa au huduma kwa watu ambao hawatumii biashara yako.
Watu wananunua au kulipia vitu ambavyo wanafikri vitatua matatizo walio nayo. Wananunua vitu wanavyohitaji wanaacha ambavyo hawahitaji. Hivyo ili uuze lazima ufanye target ya wateja, ukitaka kila mtu umuuzie utatumia muda na pesa yako lakini matokeo yanakuwa hafifu.
• Hatua ya tatu ni kuweka mikakati ya kufika mahali wateja wako walipo.
Katika hatua hii ndio unaandaa matangazo kwa kuzingatia sifa za wateja wako kisha unapeleka tangazo mahali walipo.3. HUTOI OFA KWA WATEJA
Ofa inamfanya mteja ambaye hajawahi kuitumia bidhaa au huduma yako kupata nafasi ya kuijaribu huduma au biashara yako. Mteja anakuwa na mashaka na ubora wa bidhaa yako na wewe mwenyewe muuzaji.Nini cha kufanya kumwondoa hofu mteja?
• Kama mteja ana hofu na wewe, jitihadi kuwa unajifunza mbinu, maswali na jinsi ya kumsaidia mteja kufikia maamuzi ya kufanya manunuzi.
• Unapotangaza biashara yako kumbuka kuweka ofa, chagua ofa ambayo haikuathiri, ofa zipo nyingi sio lazima utoe bidhaa zako bure 100%, unaweza:
Kuanza kutoa thamani ya huduma yako, wateja wako wakikuamini basi wanakujoin.
Toa punguzo katika kipindi maalumu, baada ya muda husika wa ofa, rudisha bei kama ilivyokuwa.
Ukitoa ofa ya punguzo toa tangazo. Kumbuka kuweka muda wa mwisho wa ofa. Muda wa mwisho unapokaribia mteja akiona tangazo huwa anahamasika kufanya maamuzi ikiwa tangazo linamhusu.
4. BIDHAA/HUDUMA YAKO HAIKIDHI HITAJI LA MTEJA
Je, mteja wako anapata alichotarajia kupata wakati akinunua huduma yako?? Kama umelenga vema wateja husika, lakini bidhaa hazina ubora au hazitatui hutaji husika la mteja, kuna uwezekano wa kupoteza wateja. Mteja hataweza kurudi kununua bidhaa yako kama alinunua akakutana na hali ambayo haikumridhisha.Fanya jitihada tangu unapoanza biashara, chagua biashara ambayo itagusa wengi, kama ni huduma toa huduma anbayo itagusa wengi.
Kwa makala nyingine kuhusu masoko na mbinu za kupata wateja kupitia mitandao ya kijamii, tembelea page yangu: Shori MN(page) au blog: shori success life
Sunday, March 26, 2017
Siri 5 za kuwa msanii bora na mwenye mafanikio
Siku zote mafanikio huwa hayana kanuni kamili ya kusema kwamba ukiifwatisha itakutoa bali huwa kuna vitu ambavyo ukivizingatia unaweza fikia mahali pazuri ambako ni nafuu kuliko ulivyozania. Wasanii wengi katika tansia mbali mbali imewachukua mda kutambua nyenzo gani au njia zipi za kupitia ili waweze fikia malengo na jinsi ya kumudu pindi pale wanapofikia hayo malengo. Hivi ni baadhi ya vitu ambavyo yapaswa kuzingatia ili uweze fikia mafanikio;
1. Sanaa iwe kiini cha maisha yako
Unapoamka
au kabla haujalala inabidi uwe unafikiria kuhusu sanaa, kitu gani
kingine ufanye cha sanaa ambacho kikifikia hadhira kiweze kukongoa nyoyo
za mashabiki. Muda wako mwingi utumie kufanya sanaa na jinsi ya
kuitangazisha ili iweze fikia wengi maana kazi inaweza ikawa nzuri sema
hamna njia ya kufikisha kwa walengwa. Kwa maana nyingine sanaa inabidi
iwe kazi yako kwa muda wote , ifanye kwa kujiamini na kwa kupenda bila
kushurutishwa.
2. Elewa jinsi sanaa inavyokwenda mkabala na biashara
Msanii
inabidi aelewe sekta za ujasiriamali katika sanaa ili aweze ingiza
kipato kupitia sanaa hiyo. Kunapokuja njia mpya ya kibiashara katika
sanaa, msanii hana budi bali kuelewa njia hiyo, ajue atafaidika vipi na
haki zake zipi ili ajiunge nayo moja kwa moja au anaweza akayagawa
madaraka hayo kwa msimazi au wasimazi wake ili yeye aweze kuendelea na
mambo mengine huku wasimazi waweze msaidia kwenye swala hilo. Hii
itaokoa muda na hata kumfanya afike mbali zaidi kama akizingatia.
3. Fanya kazi kwa bidii
Unaweza
ukawa ni msanii mzuri na unaipenda kazi yako sema ni mvivu katika
utekelezaji wa kazi yako. Hii inaweza kukurudisha nyuma kimaendeleo.
Msanii unatakiwa uwe unaipenda kazi yako lakini pia uwe na juhudi ya
kufanya kazi yako kwa kuwa mafanikio hayaji hivi hivi. Pindi
unatakavyojituma pia itawapa mshawasha hata waliopembeni yako kujitoa
zaidi kwa kukusaidia kwa kuwa wanaona unamwelekeo. Ukiwa mvivu utabaki
pewa sifa tu lakini hausogei kwa namna moja ama nyimgine kimaisha.
4. Kutokata tamaa
Katika
sanaa huwa kuna vitu mbali mbali ambavyo lazima msanii akabiliane navyo
ili kufikia malengo. Na vitu hivyo huwa vinakulazimu kufanya kazi ya
ziada au kufanya kazi kwa bidii maana kuna kupanda na kushuka katika
sanaa sasa pindi pale unapokwama haikupasi kukata tama na kughairi
kabisa bali inapaswa uichukulie kama changamoto na kisha ifanyie kazi.
Huwezi jua, pale unapokatia tamaa kama ungekomaa na kuendelea kidogo
mafanikio kumbe yalikua karibu.
5. Kaa na watu wenye mawazo chanya
Usipende
kuzungukwa na watu wenye mawazo hasi na wewe sanasana tukija kwenye
upande wa sanaa unayoifanya . Utakuta badala watu wakusaidie kimawazo na
ushauri, wao cha kwanza ni kukuambia acha sanaa hiyo kwa sababu zisizo
na msingi. Jitahidi kukaa na watu wenye mawazo chanya kiasi kwamba
anakupa ushari pindi anapoona umeteleza ama jinsi ya kufikia malengo.
Wasanii wengi wakongwe wanaweza kuwa msaada kwako wewe msanii chipukizi
kwa kuwa wanaufahamu mkubwa na ujuzi ambao unaweza kukusaidia wewe kwa
namana moja ama nyingine. Jifunze toka kwao kisha chukua ya kwao
changanya na yako na utajikuta unafika mbali bila kutarajia.
Wednesday, August 10, 2016
TANGAZA BIASHARA YAKO NA BAN MARKETZ UPATE WATEJA WENGI ZAIDI
Ban Marketz inakupa fursa wewe Mfanya Biashara Kuweza kutangaza Biashara yako kwa Bei nafuu na kwa urahisi zaidi.
Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, Ban Marketz inauwezo mkubwa wa kutangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa, Mikutano, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Partment. Pia tunapokea matangazo yoyoye isipo kuwa matangazo yasioruhusiwa na serikali yaani kisheria..
Mahitaji yetu ni Picha za Product yako unazo taka kutangaza (zisizidi picha 10 ) na maelezo ya Product yako pamoja na Contact zako na Location Ulipo..
Ban Marketz ina miliki pages,groups tofauti kwenye social media zote zinazotembelewa kwa sasa inapata PAGE VIEWS (yani Kusomwa mara ) laki 6 mpaka 1,000,000 kwa Siku moja na kwa Mwezi Ban Marketz inapata PAGE VIEWS (Kusomwa mara )Milion 12,500,000 kwa uwezo huu tulionao Ban Marketz itaweza kuitangaza Bishara yako na kuweza kuwafikia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi..
Tangaza Biashara yako nasi ili uweze kufikia malengo uliyo jiwekea katika Biashara yako, Ban Marketz inauwezo mkubwa wa kutangaza Biashara yoyote ile kama vile Maduka, Bidhaa, Mikutano, Viwanja na Mashamba, Nyumba na Partment. Pia tunapokea matangazo yoyoye isipo kuwa matangazo yasioruhusiwa na serikali yaani kisheria..
Mahitaji yetu ni Picha za Product yako unazo taka kutangaza (zisizidi picha 10 ) na maelezo ya Product yako pamoja na Contact zako na Location Ulipo..
Ban Marketz ina miliki pages,groups tofauti kwenye social media zote zinazotembelewa kwa sasa inapata PAGE VIEWS (yani Kusomwa mara ) laki 6 mpaka 1,000,000 kwa Siku moja na kwa Mwezi Ban Marketz inapata PAGE VIEWS (Kusomwa mara )Milion 12,500,000 kwa uwezo huu tulionao Ban Marketz itaweza kuitangaza Bishara yako na kuweza kuwafikia watu wengi zaidi ndani na nje ya nchi..
Kwa mawasiliano nasi 0684320325, 0768 320325, 0656704111 Namba zote zinapatikana.
Tuesday, June 28, 2016
Njia 5 zinazoweza kukufanya Msanii huonekane International kwa gharama nafuu
Njia 5 zinazoweza kukufanya Msanii huonekane International kwa gharama nafuu
1. Kufanya kazi kwa bidii
Usikae muda mrefu bila kuachia nyimbo ili kuwafanya watu wako wasikusahau aau washawishike
kuhamia/kutafuta radha kwa wasanii wengine.
2. Kukubali kukosolewa
Ukikubali kukosolewa na kuifanya kuwa changamoto katika kazi zako zijazo kwa njia ya mabadiliko
kama mashabiki wako wanavyopenda huwe.
3. Heshima
Kumheshimu kila mtu hasa mashabiki zako kwa maana ukimdharau mteja wako na akagundua
unamdharau hawezi kuwa mshabiki wako tena kwani hajivunii uwepo wako kama hautomheshimu kwa
namna moja au nyingine.
4. Mabadiliko
Mabadiliko kwa msanii ni lazima chamsingi asitoke nje ya misingi aliyojiwekea ili atambulike anafanya
kitu gani au mziki wa aina gani,
5. Kuwa karibu na mashabiki zako
Ili kufanikisha hili la kuwa karibu na mashabiki zako, inamaana uwe karibu na media (mitandao ya
kijamii) kama vile facebook,twitter,instagram, na mingine, kushiriki mambo ya kijamii kwa michango ya
hali na mali .Ikibidi tafuta kampuni ambayo inaweza kukufanyia mipangilio mizuri katika pages zako ili wakufanyie promotion ya kazi zako. mf. BanMarketz
How to go from 0 to 10,000 Facebook fans
What is the importance of having many Facebook fans on your business page?
- It is an indication of popularity – it goes without saying that the number of fans also reveals how popular a website is. A Facebook business page with 100,000 is more popular than a page with 1,000 fans and this leads to a number of other positive effects as well (some are described below).
- It is an indication of trust – If you can’t understand the relationship between Facebook fans and business trust, have in mind that the US State Department spend $630,000 to increase their Facebook Fans from 100,000 to 2 million during the years 2011-2012 (See related post from marketingland). Why did they do that? Because in today’s World a successful business, website or agency needs to have a lot of Facebook fans. 5 Years ago this did not make any difference but it is important in the 21 century.
- More fans, more visits – The more fans you have the greater is the number of people that will see your posts in their timeline and decide to visit your website to get more information. While this is true, it should also be mentioned that not all your fans will see your posts. As already explained in the 15 social media mistakes (mistake no 12), only a percentage (10-15 %) will see your status updates. This number can increase but what is important to understand now is that if you have 10,000 fans and you post a new update, it will be viewed by only 1000-1500 people.
- It’s good for SEO as well – Although officially Google does not admit that social media is a ranking factor, many studies show that popular websites on Facebook are more likely to perform better than not so popular websites (other factors being equal).
How to go from 0 to 10,000 Facebook fans
Now that you are convinced that having Facebook fans is important for your website and business, let’s see step-by-step how to go from 0 to 10,000 fans.Step 1: First things first – you need to have a Facebook business page
It may sound silly for the experienced but for beginners to social media this may be something new: A personal Facebook page is different from a business page. If you want to have friends on Facebook to share your holiday photos then you need to create a personal page but if you want to have fans and followers for your website or business then you need to create a Facebook business page.
So the first step is to ensure that you have a Facebook business page and the second step is to make sure that your page is properly optimized.
Step 2: Optimize your Facebook business page
When we talk about Facebook business page optimization we mean choosing a friendly page title, writing a suitable description and posting interesting content – you can read more details here: SEO boost your social media profiles or view my Facebook Business page as an example.
Having an optimized Facebook page makes it easier to attract new fans or more likes from ads as we will see below.
Step 3: You need to have friends on your personal Facebook account
I said in step 1 above that you need to have a business page and not a personal page, then what is this about? After you post an update on your business page, one of the ways to increase exposure and likes is to share that post in your personal page as well.
People you have as friends on your personal page are likely to ‘like’ and ‘share’ the post from your business page and this will increase the number of people that will see the post and possibly the number of likes and visits to your website.
So one of the ways to increase the number of people that view a post and go past the 10% of you fan base is to share and promote the post using your personal page as well. It goes without saying that the greater the number of friends the bigger will be the visibility of the post.
Also make sure that you invite all your existing friends (and the new ones) to like your Facebook page as well. Do that every time you gain a new ‘friend’.
Have a look at these 10 social media marketing tips that will help you gain more social media followers on Facebook and other media.
Step 4: Add the Facebook Like box on your website
This is again social media marketing 101 but you need to have the Facebook like box on your website for 3 reasons:
- It’s a way to associate your website with the Facebook business page. In other words it is a way to ‘tell’ search engines that this is your official Facebook business page.
- When you get a lot of fans, this is something you should be proud off and something to show off (as explained above this means popularity, trust and brand awareness).
- It’s a good way to grow your fan base organically. Your readers can follow your website by clicking the LIKE button without having to go to Facebook.
RECOMMENDED FOR YOU:
Running a WordPress website? Then download this how to guide and learn how to optimize your website like a Pro.
Hint2: You can also popup the like box to new users (after
they spend 60 seconds on the website or after they scroll down to the
bottom – while this works well in terms of getting new likes, it is bad
for the user experience and not something I recommend.).Running a WordPress website? Then download this how to guide and learn how to optimize your website like a Pro.
Step 5: Follow these tips to increase engagement
So far we have created an optimized Facebook business page, added friends to our personal Facebook page and added the like box in the website. The next natural step is to start sharing content to keep your fans happy and maybe manage to convert them from fans > web site visitors > customers.
Some simple rules to follow that will increase engagement with your business page:
- Share relevant content – Share content that your fans are expect to see in your page. If for example your website is about Social media, share content related to social media and not to sports or anything else you might like. If your users need to read sports news, they know where to find them.
- Don’t forget that they follow your business page to get updates about your website and not about your social gatherings – If you want to get social then use your personal Facebook page, your business page is about your website.
- As a rule thumb I use my business page to share content from my website only, if I need to share interesting content about the niche, I use my personal pages.
I made some tests regarding the impact of descriptions when doing a Facebook update and found out that Facebook posts with ‘lists’ get more likes than posts with just links. Let me give you an example to understand what I mean.
When you want to share a post from your website on Facebook, you just enter the webpage URL and it looks something like this (click on the image on the left):
You can share this post without adding any additional information. If your title and image are good, you will get a number of likes depending on the time you make the post, number of fans etc.
If one the other hand you add more information to the post and particularly a list, for example like this (click on the image on the right):
Then other things being equal, you are more likely to gain from likes and shares.
For me this make sense because people that see a title and image in their timeline may not want to visit the website so they just let it go. On the other hand when you give them valuable, quality and easy to read information in their timeline (like a list), they may click the LIKE button because they read something useful without even visiting the website.
Step 7: Share images and videos
If you take a look at some of the most popular Facebook pages about SEO, you will notice that they tend to share images, videos and infographics along with their usual text only postings. This type of content gets more likes and shares and as a result the page gets more fans and followers.
Step 8: Provide incentives
Why should someone follow your Facebook business page?
You need to give incentives for people to follow your business page. A few ideas to consider:
Frequent updates – Users we are interested in your niche can follow your page and receive news and latest developments about the niche.
Run a contest – Many websites run contests on Facebook and giveaway different gifts. The ‘price’ for joining the content is to LIKE the page first. There are various tools to do that but if you don’t have a known brand this many not be so successful (you can still try it and see if it works for your case.
Step 9: You need to promote your own content and page
When you create your business page don’t expect that it will magically get thousands of fans. Besides the tips outlined above you also have to promote your business page in places other than Facebook. A few ideas to consider that worked for my case:
Promote in other social media networks – If you have an account on other websites e.g. Twitter, Google+, Pinterest etc. then you can periodically ask your followers to join you on Facebook as well.
Promote in Twitter – Besides posting about your Facebook page on other social media networks, you can also use twitter more actively. When someone follows you on twitter you can reply back and ask him to follow on FB as well. This method although is time consuming (I did it manually and not using any tools) it produced really good results.
Promote in your newsletter – If you have a newsletter or if you communicate with your readers via email, make sure that you ask them to follow your Facebook page as well. Do not just write the FB URL below your signature but ASK them in a prominent place in the newsletter to LIKE your business page.
Step 10: Facebook ads is a must
I have saved one of the easiest and most effective ways to increase your Facebook fans for last since it is the only one that it’s not free. Facebook offers a self-service ad platform which you can use to either increase your fan base or promote your page posts.
The procedure is pretty simple and straightforward, basically you select a page you own, select your goal (fans or page likes), select your audience (based on country, age and interest) and then set your daily budget and duration.
The cost per campaign depends on a number of factors and the best way to assess if Facebook ads is a good solution to increase your fan base, is to run a pilot campaign for a couple of days. Spend $10-$20 dollars per page and run the campaigns on different dates and at the end you can decide if the cost per like is something you are willing to pay.
I had great results with Facebook ads both for my websites and for client websites and I run campaigns every month (for a few days) to boost my organic likes.
Finally it should be noted that with Facebook ads you don’t buy likes but views. Many people believe that what you pay for is Facebook likes but in reality you pay Facebook to show your ad to more Facebook users. If what your advertising is interesting then more people will hit the like button so spend some time and think the message you want to display in your ad as well as the image to use.
Conclusion
As a conclusion I will say again that having a good number of Facebook fans on your business pages is very important for credibility and ranking purposes. If this wasn’t important in the first place the US State Department wouldn’t have to spend $630 thousands for Facebook campaigns.Once you do the necessary optimizations to your business page (steps 1 and 2 above), then the easiest way to get more followers is to use Facebook ads. With a bit of A/B testing you can get to 10,000 fans with no more than $1,000 (spread into a period of months).
Once you do everything properly and you also have a great product or service, you may also grow your fans to 130,000+ like one of our clients did the last couple of months.
Subscribe to:
Posts (Atom)