Tuesday, June 28, 2016
Njia 5 zinazoweza kukufanya Msanii huonekane International kwa gharama nafuu
Njia 5 zinazoweza kukufanya Msanii huonekane International kwa gharama nafuu
1. Kufanya kazi kwa bidii
Usikae muda mrefu bila kuachia nyimbo ili kuwafanya watu wako wasikusahau aau washawishike
kuhamia/kutafuta radha kwa wasanii wengine.
2. Kukubali kukosolewa
Ukikubali kukosolewa na kuifanya kuwa changamoto katika kazi zako zijazo kwa njia ya mabadiliko
kama mashabiki wako wanavyopenda huwe.
3. Heshima
Kumheshimu kila mtu hasa mashabiki zako kwa maana ukimdharau mteja wako na akagundua
unamdharau hawezi kuwa mshabiki wako tena kwani hajivunii uwepo wako kama hautomheshimu kwa
namna moja au nyingine.
4. Mabadiliko
Mabadiliko kwa msanii ni lazima chamsingi asitoke nje ya misingi aliyojiwekea ili atambulike anafanya
kitu gani au mziki wa aina gani,
5. Kuwa karibu na mashabiki zako
Ili kufanikisha hili la kuwa karibu na mashabiki zako, inamaana uwe karibu na media (mitandao ya
kijamii) kama vile facebook,twitter,instagram, na mingine, kushiriki mambo ya kijamii kwa michango ya
hali na mali .Ikibidi tafuta kampuni ambayo inaweza kukufanyia mipangilio mizuri katika pages zako ili wakufanyie promotion ya kazi zako. mf. BanMarketz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment